Wabunge wakitoa heshima zao |
Msanii wa bongo muvi Kety akitoa heshima za mwisho |
Mbunge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola (CCM) akiwa na mbunge wa Kigoma Kaskazin Zitto Kabwe (Chadema) nyumbani kwa mbunge Deo Filikunjombe jimboni Ludewa |
Mbunge Filikunjombe kulia akinywa pombe aina ya ulanzi huku mbunge Kangi Lugola na Zitto Kabwe katikati wakishuhudia |
Mheshimiwa kangi akiuliza pombe hiyo |
Askofu wa RC Njombe Afredy Maluma akitoa baraka za mwisho |
Habari Kamili itakujia |
Waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa akifuatiwa na mbuge wa jimbo la Mwibara Kangi Lugola wakitoa heshima zao |