Ndugu Deos Khamisi Mndeme akikabidhi cheti na hundi kwa mfanyakazi bora kutoka wafanyakazi watendaji Ndugu Joseph Kakokele.
Mfanyakazi
bora kutoka Divisheni ya Rasimali za Shirika, Fredrick Makundi,
akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta
Tanzania (TPC), wakati wa hafla hiyo.
Mfanyakazi
bora kutoka Divisheni ya Rasimali za Shirika, Abdallah Waziri, akipokea
cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania
(TPC), wakati wa hafla hiyo.
Mfanyakazi
bora kutoka Ofisi ya Postamasta Mkuu, Mashala Lifunga, akipokea cheti
na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC),
wakati wa hafla hiyo iliyofana kwa kiasi kikubwa.
Mfanyakazi bora kutoka Ofisi ya Postamasta Mkuu, Christopher Mjema,
akipokea cheti na tuzo kutoka kwa Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta
Tanzania (TPC), kwenye hafla hiyo.