waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakibadilishana mawazo wakati wakisubiri mkutano wa wakuu wa nchi za afrika mashariki uanze uliofanyika katika ukumbi wa simba AICC mkoani Arusha huku msemaji mkuu akiwa ni Veronica Mheta mwandishi wa gazeti la Habari Leo
SISI KAMA WAANDISHI WA KITANZANIA TUNATAKIWA NASI TUESHIMIKE NDANI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
bywoinde
-
0