HAYA NDO MAMBO YA KIKUNDI CHA ARCHUGA ARTS GROUP WALIYOYAFANYA WAKATI WALIPOTEMBELEA LIBENEKE PUB HII LEO

 hawa ndo baadhi ya wasanii wa Ar  chuga wakiwa wamepozi ndani ya libeneke pub baada ya kutoka kufanya shoting ya freemason ambayo inatarajiwa kuachiwa hivi karibu usipimeeeeeeee kaa mkao wa kula
pia katika kikundi hichi kuna wadada wa ukweli ambao watakuwa wanapendezesha filamu hiyo usikose mara tu usikiapo filamu hiyo imetoka libeneke blog itaendelea kukuhabarisha kuhusiana na wasanii hawa wa jiji la Arusha ambao wanatisha na kwasasa kikundi hichi kinaendelea kutamba na filamu zao kama chalii ya Ar chuga na zingine kibao

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post