WEKEND HII KWA WAKAZI WA ASRUSHA SEHEMU ZA STEREHE NDO HIZI KWA UPANDE WA DISCO TRIPLE A KLABU,SILKI KLABU,AQ KLABU PAMOJA NA SUNDOWN KLABU ILIYOPO KISONGO BILA KUSAHAU BUGALOOOOOOOOO HIZO NDO SEHEMU ZA DISCO LA UKWELI
KWA UPANDE WA BENDI PAPO SUNDOWN BAR,FIRSTY LEFTY,BIOT PAMOJA NA MATONGEE AMBAPO WATOTO WA SIMBA WATAKUWEPO
PUB ZIPO LIBENEKE PUB SAKINA AMBAPO UTAPATA MZIKI LAINI ,BABY LON,TWETER PAMOJA NA ZINGINE KIBAO USIKOSE