Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba
akizungumza na wafanyakazi wa TTCL wakati wa Mkutano wa kutoa kero zao
kuhusu Hali mbaya inayoikabiri Kampuni ya Simu ya TTCL na migogoro
iliyopo kwenye Kampuni ya hiyo. Mkutano huo umefanyika leo kwenye ukumbi
wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya TTCL,Said Amir Said (kushoto)
akitoa muongozo kwa wafanyakazi wa TTCL wakati wa Mkutano wa kutoa kero
zao kuhusu Hali mbaya inayoikabiri Kampuni hiyo ya TTCL na migogoro
iliyopo,uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es
Salaam.
Mmoja wa
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya TTCL,Karim Bablia akitoa kero mbali
mbali alizokumbana nazo kwenye kampuni hiyo mbele ya Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba (hayupo pichani)
wakati wa Mkutano wa kutoa kero zao kuhusu Hali mbaya inayoikabiri
Kampuni hiyo na migogoro iliyopo,uliofanyika leo kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba,Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya TTCL,Said Amir Said pamoja na
Mkurugenzi wa Fedha wa TTCL,Shaban Mrisho wakisikiliza kwa makini kero
mbali mbali zilizokuwa zikiwasilishwa na wafanyakazi wa TTCL jijini Dar
es Salaam,leo kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba
(kushoto) akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Injinia Clarence Ichwekeleza wakati
wa Mkutano wa Wafanyakazi wa TTCL jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu ya TTCL jijini Dar es Salaam wakiwa
kwenye Mkutano wao na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia,Mhe. January Makamba (hayupo pichani) kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam leo.
Naibu
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba
akiendelea kuongea na Wafanyakazi wa TTCL jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Simu ya TTCL jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye Mkutano
wao na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January
Makamba (hayupo pichani) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es
Salaam leo.Picha na http://othmanmichuzi.blogspot.com