Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya jinsi mashimo yatayosimikwa nguzo za daraja hilo yanavyochimbwa
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakipozi na umoja wa
wakandarasi wazalendo kutoka makampuni mbalimbali waliopewa kandarasi ya
kujenga daraja hil
Wananchi wakivuka kwa
taabu sehemu ambako daraja la bonde la Mbutu wilayani Igunga linajengwa
na kuondoa kabisa tatizo hilo mwaka huu ambapo ujenzi huo unaofanywa na
muungano wa makandarasi wa Tanzania unatarajiwa kukamilika. Mpaka sasa asilimia 45 ya ujenzi wa daraja hili
lenye thamani ya sh bilioni 11.28 umekamilika na inakadiriwa kuwa litakuwa
tayari ifikapo Novemba mwaka huu.