Mwenyekiti
wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste Mkoani Mtwara, Askofu, Chilumba
akiomba kabla ya kuanza kwa kikao kati ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda na
viongozi wa madhehebu ya dini ya Kikristo mkoani Mtwara kuhusu mgogoro
wa gesi kwenye ukmbi wa VETA mjini Mtwara Januari 18, 2013. Jana
Mheshimiwa Pinda alikutana na Viongozi wa dini ya Kiislam mkoani humo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na viongozi wa madhehebu ya Kikristo
kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28,
2012.Jana Mheshimiwa Pinda alikutana viongozi wa dini ya Kiislam.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi
ya viongozi wa madhehebu ya dini ya Kikristo Mkoani Mtwara
wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu
mgogoro gesi kwenye ukumbi wa VETA Mjini Mtwara, Januari 28, 2013.
Jana Mheshimiwa Pinda alikutana na Viongozi wa dini ya Kiislam.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)