RAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA UFARANSA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akiongea na Rais Mstaafu wa Ufaransa Mhe Valery Giscard d'Estaing na ujumbe wake katika hafla ya chakula cha usiku alichoandaa Rais huyo Mstaafu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Tanzania Wildlife Foundation jijini Paris
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na Kiongozi wa jumuiya ya Ismailia duniani HH The Aga Khan alipomtembelea Hotel le Meurice jijini Paris

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post