Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara
mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi Dkt
John Pombe Magufuli, Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe na Waziri
wa Fedha Dkt William Mgimwa kabla hajahutubia Jumatatu mkutano mkubwa wa
hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa Tabora
ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na
maji.
UMATI wa wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete wakati akihutubia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikilia maelezo ya Meneja wa TANESCO wa
Nzega akielezea mikakati ya kuwapatia wakazi wa hapo nishati hiyo
Jumatatu mkutano mkubwa wa hadhara mjini Nzega katika ziara yake ya siku
nne ya mkoa wa Tabora ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo
ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya maendeleo ya Wilaya ya
Uyui toka kwa mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Lucy Mayenga wakati Rais
alipowasili Tabora mjini kuendelea na ziara yake ya siku nne ya mkoa wa
huo ambapo anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara,
daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelzo ya ujenzi wa barabara ya
Tabora-Ndono kabla hajazindua rasmi i ujenzi wa barabara hiyo akiwa
katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo anazindua miradi
kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikat utepe kuzindua rasmi ujenzi wa
barabara hiyo akiwa katika ziara yake ya siku nne ya mkoa wa huo ambapo
anazindua miradi kadhaa ya maendeleo ikiwemo barabara, daraja na maji.