Mmoja wa Wahudhuriaji wa Sherehe
ya Vodacom Grown and Sexy Party akifanyiwa mahojiano juu ya Sherehe hiyo
Kubwa ya Kuaga Mwaka na Kukaribisha Mwaka 2013 ijulikanayo kama Vodacom
Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa leo Katika Ukumbi wa Mlimani
City
Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano na
Udhamini Kutoka kampuni ya Simu za Mikononi ya Vodacom,Kelvin Twisa
akiwa katika Zuria jekundu Wakati wa Sherehe ya kuaga mwaka 2012 na
kuukaribisha mwaka 2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party
iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
Baadhi ya Wahudhuriaji wa Party ya
Vodacom Grown and Sexy Party Wakiwa kwenye Zuria jekundu la Vodacom
Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa Mwaka Mpya Ndani ya Ukumbi wa
Mlimani City
Wadau
Neema Swai akiwa katika picha ya
pamoja na rafiki yake wakati wakiingia kwenye ukumbi wa sherehe ya kuaga
mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown
and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa
Kuamkia Leo
Warembo wakipata ukodaki mbele ya
kamera yetu Wakati wa Sherehe ya kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka
2013 ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Mlimani City usiku wa kuamkia leo
Warembo wakiwa ndani ya Ukumbi wa
Mlimani city huku wakipata vinywaji baridi wakati walipohudhuria Sherehe
ya Kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha Mwaka 2013 ijulikanayo Kama Vodacom
Grown and Sexy Party iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Usiku
wa Kuamkia leo
Hii ndio Panel ya Ma Dj
waliowarusha vilivyo wahudhuriaji wa Sherehe ijulikanayo kama Vodacom
Grown and Sexy Party iliyofanyika Usiku wa Kuamkia leo katika Ukumbi wa
Mlimani City
ilipotimia Saa Sita na Dakika
Moja Usiku wa leo Ukumbi wulifanana hivyi ikiwa ni shamra shamra ya
kuuaga mwaka 2012 na kuupokea mwaka mpya wa 2013 katika sherehe
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika Ukumbi wa
Mlimani City usiku wa kuamkia leo
Baadhi ya wadau waliohudhuria
wakibadilishana mawazo huku wakijipatia vinywaji vyao wakati wa sherehe
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy party iliyofanyika Usiku wa
kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City
Wadau wakiserebuka Wakati wa
Sherehe ya Kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 katika shehere
ijulikanayo kama Vodacom Grown and Sexy Party iliyofanyika katika Ukumbi
wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo
Baadhi ya wadau wakibadilishana
mawazo huku wakipata vinywaji katika sherehe ya Kuaga mwaka 2012 na
kuupokea Mwaka 2013 ijulikanayo kam Vodacom Grown and Sexy Party
iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia Leo. Picha
na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog