Waziri
wa nchi ofisi ya Rais fedha uchumi na maendeleo Zanzibar Mhe. Omary
Yusuph Mzee akizungumza na Waziri wa fedha uchumi na mipango wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt William Mgimwa wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya Mawaziri katika mkutano wa kujadili changamoto za muungano mjini zanzibar leo
Mwenyekiti
wa mkutano kujajidili changamoto za muungano Mhe. Mohamed Aboud Mohamed
ambaye ni Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, na mwenyekiti mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan
Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais ya muungano wakijadili jambo
wakati kwa mkutano huo.
Picha zote na Ali Meja ofisi ya Makamu wa Rais