mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga
ambaye alikuwa mgeni rasmi wa siku ya familiy day ya mamlaka ya anga
akiongea na familia za wafanyakazi
mazoezi kwa sana
meneja wa mamlaka ya anga Sinoz Peter Kinuti akiwa anaongea wakati wa sherehe hiyo ya family day
Wafanyakazi wa mamlaka ya usafirishaji wa anga mkoani
Kilimanjaro wameatakiwa kujijengea tabia ya kupanda miti katika eneo
linalozunguka kiwanja cha ndege cha kimataifa cha kia ili kuweza kupunguza
ukame umbao unatokea wakati wa kiangazi.
hayo yalisemwa na mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga wakati akiongea na wafanyakazi hao katika sherehe ya familia (family Day ) iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha katika hotel ya AICC Klabu.
Alisema wilaya ya hai imeanzisha kampeni ya kupanda miti kila sehemu ilikupunguza ukame ulioko katika wilaya hiyo ambao kwa asilimia kubwa unasababishwa na miti mingi kukatwa katika maeneo mbalimbali.
Makunga aliwataka wananchi pamoja na wafanyakazi wa mamlaka ya usafiri wa anga wa mkoa wa kilimanjaro hususa ni wafanyakazi wa kiwanja cha kimataifa cha kia kuhakikisha wanapanda miti kwa wingi ili kupunguza ukame uliopo katika eneo la kia ambapo ndipo kiwanja cha ndege cha kimataifa kilipo.
''sasa ivi ambapo mvua ndizo zinanyesha tunatakiwa kupanda miti mingi hususa ni eneo linazunguka uwanja wa ndege wa kia kwani kipindi cha jua eneo lilile limekuwa likionekana kuwa na ukame mkali sana hivyo napenda kuwasihi wafanya kazi wa mamlaka hii kutenga baadhi ya siku pamoja ya kuwa kwa sasa kuna kazi nyingi kwani wageni wanaongezeka kila siku na ndege zinaongeza wajitoe wapange siku wapande miti katika maeneo haya''alisema Makunga
Alibanisha kuwa mbali na kupanda miti pia kila mwanananchi anatakiwa kuwa mlinzi wa mwenzake na kuakikisha kuwa mwenzake akati miti bila kufuata sheria ,bila ya kuwa na kibali na pia akikata mti mmoja aakishi amepanda mingina na sio kupanda tu bali aufatilie mpaka ukue.
''miti hii ikipandwa na ikastawi vizuri mbali na kupunguza ukame pia italeta madhari mazuri ya kiwanja ikiwemo hali ya hewa nzuri na hata wageni wanaokuja kutembelea nchi yetu na wale wanaotumia kiwanja cha kia watafurahia madhari ya kiwanja ''alisema makunga
Kwa upande wake meneja wa mamlaka ya usafiri wa anga Mkoa wa kilimanjaro katika kiwanja cha ndege cha kimataifa cha kia Siozon peter Kinuti alisema kuwa wao kama wafanya kazi wa mamlaka ya anga watajitaidi kuweka swala upandaji miti katika ratiba yao ili kuweza kupunguza ukame ambao uanakabili eneo hilo katika kipindi cha kiangazi.
Kwa upande wa siku ya familia alisema kuwa siku hii wamekuwa wanazikutanisha familia za wafanyakazi na kukaa pamoja na kufaurahia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupata chakula cha pamoja kubadilishana mawazo na kushiriki burudani za aina mbalimbali.
Alisema kuwa hii ni mara ya kukutanisha familia za wafanyakazi kwa pamoja na kubadilishana mawazo lakini pia alisema kuwa swala hili la kutanisha familia ni njia moja wapo ya kuleta undugu baina ya familia moja na ingine pamoja na kuzifanya zijuane huku akibainisha kuwa swala hili alitakuwa kwa siku moja tu bali litakuwa ni lakudumu.
Kinuti alisema kuwa katika kipindi kingine cha siku ya familia watatumia kwa kupanda miti katika eneo linalozunguka eneo la kiwanja hii ikiwa ni kumuunga mkono mkuu wa wilaya ya hai kwa kuanzisha kampeni ya kupanda miti katika wilaya yake

warembo wakipata msosi |
Wito umetolewa kwa wananchi
mbalimbali hapa nchi kushiriki katika michezo mbalimbali pamoja na mazoezi ya
viungo ili kupunguza magonjwa mbalimbali yanayowakumba.
Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya hai Novatus Makunga wakati alipokuwa akingoea katika bonanza la siku ya familia la wafanyakazi wa mamlaka ya anga mkoani kilimanjaro.
Alisema kuwa kila mwananchi anatakiwa kushiriki katika michezo mbalimbali pamoja na kufanya mazoezi ili kuweza kupunguza magonjwa mbalimbali yanayoweza kutokea kama vile kisukari na presha .
''unajua tukishiriki katika michezo mbalimbali tunaweza kupunguza hata magonjwa yasioyolazima yanayotokea kama vile kisukari na pia mazoezi yanasaidia mambo mengi ikiwemo kukujenga kisaikolojia ,kuwa na afya bora na pia mazoezi na michezo pia yanaongeza uahai ''Alisema makunga
Alinainisha kuwa pia kushiriki bonanza hili unasaidia kukutanisha watu mbalimbali kushiriki katika michezo ambapo ndani ya michezo hii wanabadilishana mawazo pamoja na kufahamiana zaidi uku akiwasihi bonanza hili la wafanyakazi wa usafiri wa anga liwe endelevu lisiishie hapa.
kwa upande wake meneja wa usafiri wa anga mkoa wa katika kiwanja cha kia Sizon Peter Kinuti alisema kuwa bonanza hili limeshirikisha wafanya kazi wa mamlaka ya usafiri wa anga ambapo walishiriki katika michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukimbiza kuku kuruka kamba, kukimbia na magunia,mpira wa miguu,mpira wa pete pamoja na mazoezi ya gym ambayo yalifanyika asubuhi kabla ya shughuli hizi kuanza.
Naye muhandisi wa uwanja wa ndege wa Kia Ernest Fungameza Ngongolwa alisema kuwa katika michezo hii wamefuhai kwani imewakutanisha familia mbalimbali za wafanya kazi na pia wamecheza michezo mbalimbali ambayo walikuwa hawajaicheza kipindi kirefu.
''kwali tumefurahi kwani familia zetu zimeweza kukutana na kufahamiana na pia tumefanya mambo mengi tumeshiriki michezo mingi ,tumeburudika tumekula na kunywa hivyo siku hii kweli ni nzuri na tumeifurahia''alisema ngongolwa
Alitoa wito kwa wananchi mbalimbali wadau mbalimbali,wafanyakazi mbali kujijengea tabia ya kushiriki michezo pamoja na mazoezi ili kuweza kuweka miiili yao katika hali nzuri kwani michezo ni afya micheozo pia ni ajira huku akiwasihi wazazi kuwashawishi watoto wao kupenda michezo