HAPA KAMANDA WA POLISI MKOA MBEYA DIWANI WAKIPONGEZANA NA NA MDAU WAHABARI MWAIGAGA KATIKA SHERHE YA KUAGA MWAKA 2012 NA KUUKARIBISHA 2013 SHEREHE HIYO ILIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MTENDA JIJINI MBEYA |
JOSEPH MWAISANGO MWANDISHI WA MBEYA YETU HAKUWA NYUMA KATIKA KUPONGEZANA KATIKA SHEREHE HIYO |
KAMANDA WA TAKUKURU MKOA WA MBEYA DANIEL MTUKA AKIWASHUKURU WANAHABARI KWA USHIRIKIANO ULIOPO KATI YA WANAHABARI NA TAKUKURU KWAMBA USHIRIKIANO HUO UENDELEE KUDUMISHWA |
MWENYEKITI WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MBEYA MWAIGAGA AKIWASHUKURU WANAHABARI |
KAMANDA DIWANI AKIFUNGUA MUZIKI KATIKA SHEREHE HIYO |
MKURUGENZI WA UTPC ABUBAKAR KASAN AKIONYESHA UMAHILIWAKE WA KUSAKATA RUMBA |
KAMA KAWAIDA YA MZEE WETU MWASUMBI HUPENDA UTANI |
MZEE WETU NJAVIKE KATULIA TULI AKIANGALIA VIJANA WAKE WAKISAKATA RUMBA |
MGENI RASMI KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA DIWANI AKIONGEA NA WADAU WA HABARI NA WANAHABARI WA MBEYA KATIKA SHEREHE YA KUUAGA MWAKA 2012 N KUUKARIBISHA 2013 |
MWENYEKITI WA KAMATI NZITO YA SHERAKIMKA RIBISHAEHE HII PATRICK KOSIMA AKIMKARIBISHA MGENI RASMI |
TUNASEMA IMEJIBU SHEREHE IMEFUNGULIWA MC WETU CHALES MWAKIPESILE AKIFANYA VITU VYAKE |
HII NDIYO KAMATI KUU YA MAANDALIZI YA SHEREHE HII |
RUMBA LIMEANZA SASA |
INAPENDEZA SANA |