Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitia ubani kama ishara ya ufunguzi wa
Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana
katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika
Maulid kama hayo na kuhudhuriwa na maelfu ya Wumini wa Dini ya
Kiislamu.
Ustadh Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma
Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini
Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa
na maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Ustadh Abdulla Hamad wa Chuo cha Kiislamu,akitoa
tafsiri ya Aya za Quran,zilizosomwa na Ustadh Rashid Jaffer wa
Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya
Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja
vya Maisara Mjini Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama
hayo na kuhudhuriwa na maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Mtafsiri Lugha kwa njia ya alama akitoa tafsiri ya
maneno yanayozungumzwa wakati wa Hafla ya sherehe za Maulid ya
Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Wake za Viongozi na Akinamama wakisikiliza Maulid
Barzanj ya Kuzaliwa kwa yaliyosomwa na wasomaji mbali mbali na Qasida
katika sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria
katika sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akitiwa Marashi
wakati wa kumswalia Mtume (S.A.W) wakati wa sherehe ya Maulid ya
Kuzaliwa kwake katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Viongozi wa Jumuiya ya Maulid
EL Nabii Zanzibar,alipowasili katika viwanja vya Maisara katika
sherehe za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W)
yaliyofanyika jana.
Ustadh Ali Twalib Mohamed,wa Kibanda Hatari Mjini
Zanzibar akisoma Maulid Barzanj Mlango wa kwanza katika kusherehekea
kwa kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana
katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar
Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe
za Maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana,
na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume,(katikati).
Wanafunzi wa Madrasa Munawara Shaurimoyo Wilaya ya
Mjini Zanzibar wakisoma Qaswida ya Mwaka 1434 el Hijra,wakati wa
sherehe ya Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji
Khamis,iliyotayarishwa na jumuiya hiyo katika sherehe za Maulid ya
kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja
vya Maisara Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji
Khamis,alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe za Maulid
ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]