wakazi wa mkoa wa aArusha na pembezoni wekendi ndo hiyo imeanza sasa ujiulize wapi pa kwenda bali sasa wakati ni wako aliyamisi ya leo
unakaribishwa Libeneke Pub uanzie wekendi hapo na pia katika ukumbi wa triple A wazee wa gwasuma wanatumbuiza ikiwa ni pamoja na kuitambulisha bendi albamu yao mpya usikose | KWA UPANDE WA BENDI FESTI LEFTY KUNA BENDI ,SUNDOWN KUNABENDI YA NGUVU BILA KUSAHAU KATIKA UKUMBI WA NAROK | KWA WALE WA MADISCO KUNA KLABU AQ DISCO LA NGUVU | ,TRIPLE A KUNA DISCO ZURI NA MADJ WA UKWELI |