WACHEKI WAKAKA NA WADADA WA R-CHUGGA

wadada wa kikundi cha R.Chugga wakiwa wamepozi katika maeneo ya kwa morombo  tayari kwa ajili ya kuanza wekendi wa kwanza kushoto ni dipper katika kati Ashiley pamoja na Nasra


 wasanii wa kikundi cha R.chugga wakiwa katika pozi arusha nao tupo

 jamani wekendi ndo hiyo imeanza watu washaanza kwa raha zao hapa ni wasanii wa kundi la R.chugga wakiwa wanaponda raha wa kwanza  kushoto ni Nasra akifuatiwa na Mack yondu akifuatiwa na msanii Dipper wakila raha

mambo ya kula mbuzi usipime papa hustadhi na don wakiwa wanapata nyama kama wadau  mnavyojua kuwa arusha ndo penyewe kwa nyama

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post