Waziri
wa Ujenzi,Dk. John Magufuli akipiga Ngoma aina ya Tumba sambamba na
Mpiga Gita wa Bendi ya Msondo Ngoma wakati wa hafla fupi ya Uzinduzi wa
Ujenzi wa Daraja la Mbutu,Wilayani Igunga Mkoani Tabora leo.Uzinduzi huo
umefanya na Rais Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani).Picha na IKULU
MAKOFULI SIO KWENYE UONGOZI TU HATA KWENYE UTAMADUNI YUMO
bywoinde
-
0