HILI LIMESHAKUWA KERO KWA WANAFUNZI WETU SASA NINI KIFANYIKE ILI KUWANUSURU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

WADAU MBALIMBALI WA MKOA WA ARUSHA KUMEKUWEPO NA TATIZO LA WANAFUNZI WETU WA SHULE MBALIMBALI IKIWEMO ZA SEKONDARY KUCHELEWA KUINGIA MADARASANI HASA KATIKA KIPINDI CHA MWANZO WA MWAKA PAMOJA NA KILE KIPINDI CHA MWEZI WA SITA WAKATI WA KULIPA ADA

SABABU KUBWA AMBAYO IMEBAINIKA NA LIBENEKE IMESHUHUDIA SIO UKOSEFU WA ADA BALI NI JINSI YA KULIPA ADA HIZO 

 LIBENEKE LIMESHUHUDIA TANGU SHULE ZILIPO FUNGULIWA MPAKA SASA WANAFUNZI WA SHULE MBALIMBALI WAKIWA WAMEPANGA FOLENI KUBWA KATIKA MABENKI MBALIMB ALI WAKISUBIRI KULIPA ADA WENGINE WAKIWA WANATESEKA KUAMKA ASUBUI KWENDA BENKI KUSHINDA APO MPAKA JIONI NA PIA JIONI HIYO PIA WANAWEZAWASIHUDUMIWE KWANI FOLENI AIJA MKUTA NA MBALI NA KUKAA MUDA MREFU BILA KUPATA HATA CHAKULA LAKINI PIA WANAFUNZI HAWA WAMEKUWA WANAPITWA NA MASOMO KWANI WANASHINDWA KWENDA SHULE KWA KUWA HAWAJALIPA ADA HAWANA RISITI YA BENKI YA KUONYESHA WAMELIPA ADA HHIVYO INAWALAZIMU WAO KUTESEKA SASA NACHOTAKA KUJUA WADAU

TATIZO HILI NANI ALAUMIWE,SEREKALI KWA KUAAGIZA ADA ZILIPWE BENKI ,WAZAAZI KWA KUTOLIPA ADA MAPEMA ,WALIMU MASHULENI KWA KUWANYIMA WATOTO KUJA SHULE BILA KULIPA ADA AU WAFANYAKAZI WA MABENKI 

TOENI WADAU MAONI YENU NINI KIFANYIKE SASA BAADA YA KUJUA NANI ALAUMIWE

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post