MIRUNGI YAKAMATWA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Liberatus Sabas akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukamata madawa ya kulevya aina ya mirungi viroba 202 viliyokuwa vinasafirishwa kuingia nchini vikitokea nchi jirani ya Kenya

Askari wa Jeshi la Polisi wakiharibu madawa ya kulevya aina ya mirungi kwa kukata kata na kumwagia mafuta. Madawa hayo yalikamatwa saa 1:00 asubuhi leo eneo la Engikareti lililopo wilaya ya Longido Mkoani hapa

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post