Inaonesha mapenzi ya Prezzo kwa nchi ya Nigeria yameendelea kukua zaidi kwakuwa licha ya kutoondoka pembeni mwa Goldie, rapper huyo wa Kenya ameamua kununua nyumba nchini humo ambako atapageuza kama makazi yake ya pili.
Na sasa ameachia ngoma mbili kwa mpigo, Naija Girl na Higher ambazo zote zina ladha ya kinaijeria. Cha kufurahisha zaidi kwenye nyimbo hizi mpya ni kuwa utamsikia Prezzo akiimba kwa mara ya kwanza and he sings pretty well by the way.
Naija Girl bila ubishi ni dedication kwa mrembo wake Goldie