Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed
Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika
leo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduizi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia Mkono wananchi waliopita
mbele ya Jukwa kwa Maandamano ya Sherehe za Kilele cha Miaka 49 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa
Amaan Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduizi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa wananchi wa
Zanzibar kupitia katika sherehe za kutimia miaka 49 ya Mapunduzi
Matukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa Amaan Studiuma Mjini Zanzibar
jana,kuhudhuriwa na Maelfu ya wananchi mbali mbali Mjini na
Mashamba.
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa haraka
,katika sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar
huko Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar leo.
Kikosi cha Jeshi la (KMKM) Kikosi cha kuzuia Magendo
Wanawake kikipita mbele ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika
sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar leo.
Kikosi cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wanawake
kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika sherehe za
Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko Uwanja wa
Amaan Studium Mjini Zanzibar leo.
Kikosi cha Jeshi la Mafunzo la Serikali ya Mapinduzi
Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa pole,katika
sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar leo.
Kikosi cha Jeshi la (KMKM) Kikosi cha kuzuia Magendo
Wanaume kikipita mbale ya Rais kwa Gwaride la Mwendo wa haraka,katika
sherehe za Kutimia miaka 49 ya Mapinduzi Matiukufu ya Zanzibar huko
Uwanja wa Amaan Studium Mjini Zanzibar leo.
Kikosi cha Jeshi la (JKU) jeshi la Kujenga Uchumi,

Msanii Halikuniki akiongoza Kikundi cha
wasanii cha Cha Beni Maarufu(Mbwakachoka) kikipita mbele ya mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka
49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja
wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza
la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka
49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja
wa Amaan Studium Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wananchi wakipita kwa Maandamano mbele ya mgeni
rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika sherehe za kutimia miaka
49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,zilizofanyika leo katika Uwanja
wa Amaan Studium Mjini Zanzibar..[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]