Waziri wa Uvuvi na maendeleo ya mifugo Dr.Mathayo David Mathayo akiwa anatembelea eneo la nje la machinjio ya Arusha Meat wakati alipofanya ziara yake ya siku moja
waziri akiangalia mathari ya ndani ya sehemu ambayo mifugo inachinjiwa
picha ikionyesha waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo Dr.David Mathayo David akiuliza swali wakati alipokuwa sehemu ng'ombe wanapochinjiwa
picha ikionyesha Waziri wa Uvuvi na Maendeleo ya Mifugo, Dk. David Mathayo David wa pili kulia akisikiliza maelekezo kutoka kwa meneja wa wa machinjio ya Arusha ( Arusha Meat )Fabian Kisingi wakati alipofanya ziara ya kutembelea machinjio hiyo na kuona kazi zinazofanywa na machinjio hiyo ambapo aliwahaidi kuhakikisha kuwa watazuia nyama zote zinazotoka nchi za nje ili soko la nyama hapa nchini likuwe