Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Arusha (APC) Eliya
Mbonea ambaye pia ni Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya New Habari (2006)
wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba akichangia
damu jijini Arusha jana ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kukusanya damu kwa
ajili ya Benki ya Damu Kanda ya Kaskazini, shughuli hiyo ilifanyika
katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha jijini Arusha kwa
takribani siku 5.