Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa kuwa mkaazi wa
heshima wa Arusha toka kwa Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence
Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa
Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji
huo wa kitalii kuwa jiji
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi hati rasmi ya
kuuzindua mji wa Arusha kuwa jiji Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki
Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
aa19: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia
kuzindua rasmi nembo ya jiji la Arusha katika Mnara wa Azimio la Arusha
jijini humo
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha
katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za
kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji