BREKING NEWS LA KUTUPWA LARUSHWA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA LEO

Bomu la kutupwa limerushwa leo katika mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA iliyokuwa ikifanyika katika kiwanja cha soweto jijini hapa

WATU zaidi ya 15 wamejeruliwa huku ikidaiwa watu watatu wamefariki dunia 

mpaka sasa hamna mtu ambaye anashikiwa kwa kuhusika na tukio hilo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 Comments:

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia