HAPPY BIRTH DAY MUKE YA LAIGWANAN MKUU EDWARD LOWASSA
Father
Kidevu Blog inaungana na Familia yake pamoja na wana Monduli na
watanzania kwa ujumla kumtakia heri na fanaka lakini kubwa zaidi
kumuombea kwa Mungu amjalie HEKIMA na BUSARA zaidi katika maisha anayo
mjalia.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia