meneja wa sido mkoa wa Manyara Jorald Ndosi akiwa na baadhi ya washiriki
kutoka mkoa Manyara wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa
maonyesho hayo mchana huu
i baadhi ya wajasiriamali walioleta bidhaa kwenye maonyesho ya
ujasiriamali kanda ya kaskazini yanayofanyika kwenye viwanja vya
makumbusho jijini Arusha wakiwa kwenye lkikao cha maandalizi na maofisa
wa shirika la viwanda vidogo vidogo(SIDO)kabla ya uzinduzi mchana huu.
Ofisa kutoka shirika la viwanda vidogo sido akitoa maelekezo kwa
washiriki wa maonyesho ya ujasiriamali kanda ya kaskazini yaliondaliwa
kwa ushirikiano na TAHA,USAID na Sido yanayofanyika kwenye viwanja vya
makumbusho jijini Arusha
Ni washiriki wakiwa katika maandalizi kwa ajili ya maonyesho ya
ujasiriamali kanda ya kaskazini vile vile ni muonekano wa uwanja wa
maonyesho kabla wajasiriamali hawajapanga bidhaa zao zaidi ya
wajasiriamali 200 wanatajiwa kushiriki maonyesho hayo
Ni washiriki wa viwanda vidogo vidogo wakiwa katka maandalizi ya
maonyesho ya ujasiriamali kwenye viwanja vya makumbusho jijini Arusha
kabla ya uzinduzi unaotarajiwa kufanyika mchana huu
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia