Juni
8 ya kila mwaka ni ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mke wa Waziri Mkuu
Mstaafu, Edward Ngoyae Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli
mkoani Arusha na Laigwanan Mkuu.
Father
Kidevu Blog inaungana na Familia yake pamoja na wana Monduli na
watanzania kwa ujumla kumtakia heri na fanaka lakini kubwa zaidi
kumuombea kwa Mungu amjalie HEKIMA na BUSARA zaidi katika maisha anayo
mjalia.