Misululu mikubwa wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu |
Kila mtu anasubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho |
wengine wakiwa hawajui hatima yao katika uagwaji wa vitalu vya biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho |
misululu ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa makumbusho |