Picha
mbalimbali zikiwaonyesha wafanyakazi wa hifadhi ya Ziwa Manyara
wakishiriki shughuli za kijamii kwa kufanya usafi kwenye mji wa mto wa
mbu kama wanaovyoonekana katika picha mbalimbali ikiwa ni katika
maadhimisho ya siku ya uhifadhi duniani hapa wakionekana na mabago
kamawalivyokutwa na kamera yetU