WAHABESHI WAWA KIVUTIO KWA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA KATIKA MAONYESHO YA SIDO

 mkuu wa mkoa wa Arusha  magessa mulongo akiwa anaangalia bidhaa zinazotengenezwa na kabila la wahabeshi katika uzinduzi wa maonyesho ya  sido



baadhi ya bidhaa za shanga zilizopo katika maonyesho ya sido
 mkurugenzi wa Taha Jacqueline Mkindi akiwa anaangalia na kufurahia bidhaa zinazotengenezwaa na shanga zilizopo katika viwanja vya makumbusho katika maonyesho ya wajasiriamali toka  viwanda vidogo vidogo
 wahazabe wakiendelea kutengenez mikuki yao

 mkurugenzi wa Sido Taifa Omary Bakari akiwa anasoma risala kwa mgeni rasmi katika maonyesho hayo


 meneja wa Sido  Isidori kayenze Arusha akiendelea kunogesha maonyesho hayo

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia