Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akijadili jambo na mfadhili wa
shule ya O'Brien ya Hai,Bibi Kellie O'Brien(katikati) na kulia ni diwani
wa kata ya kia,Sinyoki Ole Nairuko
Sehemu ya wageni kutoka nchini Marekani waliohudhuria sherehe za siku ya
shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza ya O'Brien ya Hai
Diwani wa kata ya Kia,Sinyoki Ole Nairuki akiwatambulisha wageni mbalimbali katika sherehe za siku ya shule ya O'Brien
Wanafunzi wa shule ya O'Brien wakitoa burudani
Sehemu ya akinamama wa Kimaasai waliohudhuria shule ya siku ya shule ya The O'Brien School for the Maasai
Morani wakitoa burudani pamoja na wageni kutoka marekani
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga na mfadhili Bibi Kellie O.Brien
wakishuhudia shughuli mbalimbali za siku ya shule ya msingi ya O'Brien.