mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiwa anaongea katika mkutano huo
mkutano wa mashauriano kati ya Baraza la habari Tanzania(MCT) na
Wahariri pamoja na watendaji wakuu wa Vyombo vya habari wafanyika katika
Hotel ya Aishi Protea iliyoko Machame wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro
washiriki wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga