Madiwani Manispaa ya Moshi wakielekea kwenye vyanzo vya maji. |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
Chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
Diwani wa kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi,Bw Mbonea Mshana akiuliza jambo wakati walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
Meneja Ufundi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Patrick Kibasa akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea matanki ya kuhifadhi maji ya CCP. |
Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga,chanzo hiki chenye Chemichemi kimeibuliwa hivi karibuni na MUWSA ili kujiongezea upatikanaji wa maji ya kutosha kwa wakazi wa Mji wa Moshi. |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo kipya cha Maji kilichopo kando ya Mto Karanga. |
Mafundi wa MUWSA wakiendelea na shughuli ya uunganishaji wa bomba kwa ajili ya kupitishia maji katika Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga. |
Chanzo cha Maji cha Shiri. |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia