CHEKI MAPOZI MBALIMBALI YA PICHA KATIKA HARUSI YA MBUNGE JOSHUA NASSARI

Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa amebebwa na wapambe wa Bi Harusi.
Bi Harusi Anande Nnko akiwa amebebwa na Bwana Harusi pamoja na wapambe wake.
Pozi tofauti za Maharusi.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wazizi wa Bi Harusi Anande Nnko pamoja na ndugu zao.
Maharusi wakiwa na Mz.ee Ediwn Mtei pamoja na Mama Mtei

About woinde

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia