Waziri
wa Mali asili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wapili kushoto) akipokea
funguo ya helkopta kutoka kwa ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Helicopter Charter (EA) Ltd, Peter Achammer iliyotolewa msaada na
Taasisi ya Howard Buffet kwaajili ya kusaidia mambambano dhidi ya
ujangili katika hifadhi za taifa nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika
jana jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Balozi9 wa Marekani nchini
Tanzania, Mark Childress (wapili kulia) na Waziri Kivuli wa Maliasili na
Utalii, Peter Msigwa.
Wadau mbalimbali wakipiga picha ya pamoja baada ya makabidhiano.
Waziri akipiga picha na wageni pamoja na Askari wanyama Pori