MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII YATOA SEMINA KWA ASAKARI POLISI MJINI MOSHI


Baadhi ya askari polisi wa wilaya ya Moshi wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi za jamii.
Viongozi wa ngazi ya juu wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii
Baadhi ya asakari polisi wa wilaya ya Moshi wakifuatilia maelezo juu ya mifuko ya hifadhi za jamii.
Ofisa mnadhimu namba moja wa jeshi la polisi mkao wa Kilimanjaro SSP Koka Moita akichangia jambo wakati wa semina juu ya mifuko ya hifadhi ya jamii iliyotolewa kwa maofisa wa jeshi hilo wa ngazi mbalimbali.
Kamanda wa polisi wa wilaya ya Moshi,OCD Deusdedit Kasindo akizungumza jambo wakati wa semina hiyo.
Baadhi ya asakari Polisi wa ngazi na vitengo tofauti walipata nafasi pia ya kuchangia mawazo yao katika semina hiyo.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post