Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS KIKWETE AHANI MISIBA YA KANALI MSTAAFU ALI MWANAKATWE, MCHEKESHAJI SAIDI NGAMBA "MZEE SMALL" JIJINI DAR LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe wakati wa hafla ya kuaga mwili wa marehemu katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam leo Juni 9, 2014.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwenya shughuli ya kuaga mwili wa  Marehemu Kanali mstaafu Ali Hassan Mwanakatwe aliyefariki  dunia Jumamosi  asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi (GMH) Lugalo, jijini Dar es Salaam

Post a Comment

0 Comments