Kundi la Watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wakiwa katika picha
tofauti jijini Arusha wakati wa Chakula cha Usiku kilichofanyika katika
Hoteli ya New Arusha Hoteli jijini Arusha na Maofisa wa Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii waliongozwa na Mratibu wa Taifa wa Magonjwa
yaliyokuwa hayapewi kipaumbele (Neglected Tropical Disease) Upendo
Mwingira. Watalii hao wamepanda Mlima Kilimanjaro na wanatarajia kushuka
Julai 5, Mwaka huu. Lengo la kupanda Mlima ni kuchangisha fedha kwa
ajili ya kudhibiti magonjwa hayo.