Baadhi
ya waendesha pikipiki za kubeba abiria Jijini Arusha maarufu kama
bodaboda wakiwa katika kikao cha dharula na RPC Sabas katika mjadala
uliofanyika Ofisi ya Kata ya Ololrieni ukilenga kuoba ushirikiano wa
maswala ya usalama baina ya waendeshaji hao ili kufanikisha ushirikiano
baina ya Jeshi la Polisi na wananchi wema katika kuzuia uhalifu Jijini
Arusha kupitia mradi wa Ulinzi Shirikishi.
Baada ya kikao waokiondoka kurejea vituoni kwao.