TASWIRA YA UZINDUZI WA ALBAM CHOZI LA MAMA NDANI YA DAR LIVE USIPIME ILIKUWA APATOSHI



FATHER MAUJI NA MZEE YUSSUF WAZINDUA LASMI ALBAM YA CHOZI LA MAMA MBELE WA KADAMNASI YA WAPENZI WA JAHAZI MODERN TAARAB.

KHADIJA BINTI YUSSUF SAUTI YA CHIRIKU NA NYIMBO (HASIDI ANA SABABU)
MC LEYLO NA MAAMA MADIKODIKO KUTOKA KENYA PAKA DSM TANZANIA YANI NI RAHA SANA HAPA DAR LIVE SIKU YA LEO
 prince amigo akiimba na mama mke wake wa pili bibie habiba au sare sare maua(tiba ya mapenzi)
 fatma mcharuko mtoto wa kizanzibar amesimama imara ikiimba nyimbo ya (hasokasoro ni mungu)
 khadija Yussuf  chiriku akiimba (hasidi hana sababu)
 komandoo Malkia leyla binti rashid akiutumia ujana ndani ya dar live
 mc leylo na maama madikodiko kutoka nchini kenya nao hawakutuacha nyuma walikuwa sambamba nasi kwenye uzinduzi huo.Mkononi mwao wote wawili wanaonekana wameshika tuzo ambazo zilikuwa zikishindaniwa katika michuano ya killi music award na mzee yussuf kuibuka kidedea.
 mkali wa keybord tanzania na dunia nzima mfalme mzee yussuf.
 mzee yussuf big dady na nyimbo chozi la mama
mzee yussuf na dancer wake hii ilikuwa show time.
 price amigo the one ama unaweza muita speed 320 mkali wa vocal tanzania one akifanya tiba ya mapenzi ndani ya jukwaa la dar live.

RAHMA MACHUPA NA BIBIE MISHI MOHAMEDI WAMEPENDEZA SANAA
 FATMA KASSIM  NA FATMA ALLY TIME HII LIVE ON DAR LIVE
 MUSSA MIPANGO MPIGA BEZI WA JAHAZI MODERN TAARAB MUDA HUU DAR LIVE
  HAJI MABOVU NARUSHA PICHA HIZI MOJA KWA MOJA KUTOKA DAR LIVE
FATMA KASSIM KWA STEJI ANANG'ARA SANA MTOTO WA KIZANZIBARI
KARIBUNI SANA DAR LIVE TUZINDUE CHA KWETU KAMA UPO KARIBU BASI JONGEA JONGEA BADO MASAA KAZAA TU BIG DADY MZEE YUSSUF AZINDUE CHOZI LA MAMA

NEW UPDATE...
 JAHAZI DANCERS
 MOHAMEDI ALLY MTOTO PORI
 MALKIA LEYLA BINTI RASHIDI NA NYIMBO FANYA YAKO.
 MWANSITI MBWANA KITORONTO NA NYIMBO [ALIPANGALO JARALI]
BONGE LA SAPRAIZ HAPO NI SINDIMBA NA TUFANYE YANAYO TUHUSU! BASI RAHA TUPU  NA SHANGWE NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA ZAKHEEM
MFALME MZEE YUSSUF AKIWA MWENYE FURAHA.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post