Haya ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu imefkia tamati ndio siku ambayo yalifanyika mashindano ya Miss Arusha City
centre pale Naura spring, shindano hilo lilikuwa linasubiriwa kwa hamu
but likafkia tamati kwa mrembo Lilian deuce kuwapiga bao warembo wenzake
wote na kutwaa taji la Miss Arusha city centre, ambaye yupo hapo
katikati, sory picha hizi hazina quality nzuri kidogo but stay tune with
makubwa haya blog picha nyingine zitawajia hivi punde.