hawa ndio washindi wa redd's miss kanda ya kaskazini kwa mwaka 2014
hawa ni wadhimini wa shindano hilo kutoka minjingu
LEMUTUZ nae alikuwemo ndani ya Redd's miss kanda ya kaskazini bila kumsahau mwenyekiti wa Taswa Juma pinto
mkuu wa mkoa wa Arusha pamoja na mkuu wa mkoa wa Manyara waliuthuria katika usiku huo wa kumsaka mrembo wa kanda ya kaskazini ambapo katika shindano hilo warembo wanne wamwanzo watakingia katika kambi ya Redd's miss Tanzania
mh hashimu Lundenga akiwa anatangaza washindi wa tatu bora
watembo wakiwa wameingia ukumbini wakicheza wimbo wa ufunguzi
papa mwandago akimwaga maneno akiwa kama muandaaji mkuu wa shindano hili
hawa ndio warembo walioingia tano bora
waandaji wa shindano hilo wakiwa wamekaa kwa mapozi wakifuatilia shindano
PICHA zote na libeneke la kaskazini blog