TASWIRA YA MAHAFALI YA WAHITIMU WA UHIFADHI WA WANYAMAPORI JIJINI MWANZA.



  Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizindua maabara ya
kompyuta katika  chuo cha Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Pasiansi
Mwanza wakati wa mahafali ya 49 ya chuo hicho. Kulia ni Balozi wa
Marekani Mark Childless.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Balozi wa
Marekani Mark Childless wakikagua gwaride la heshima la wahitimu wa chuo
hicho.


 Wahitimu wa Uhifadhi wa wanyamapori katika chuo Taasisi ya Taaluma ya
wanyamapori Psiansi Mwanza wakicheza gwaride juzi, wakati wa  wa
mahafali ya 49 ya chuo hicho juzi.
Wahitimu wa Uhifadhi wa wanyamapori katika chuo cha Taasisi ya Taaluma
ya wanyamapori Psiansi Mwanza wakionyesha ujuzi wa kutumia silaha wakati
wa mahafali ya 49 ya chuo hicho juzi.


Wahitimu wakionesha utaalamu wa Karate.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post