HAPPYNESS SAMWELI NDIYE REDDS MISS KILIMANJARO 2014

 Happiness Samweli ndiye Redd's Miss Kilimanjaro 2014.

Hivi ndivyo warembo waliokuwa wakiwania taji la Redd's Miss Kilimanjaro 2014 walivyoanza kuingia jukwaani kwa mwendo wa kizalendo huku wakisindikizwa na wimbo wa taifa.

Baada ya wimbo wa taifa walimbwende walianza kutoa burudani.

Warembo wakiwa katika vazi la ubunifu.

Warembo wakiwa katika vazi la ufukweni.

Baada ya warembo wa Redd's Miss Kilimanjaro 2014 kuchujwa walibakia warembo watano tu ambao ni Nadia Samweli (9), Neema Leam (11), Nancy Ally(1), Happiness Samweli (2) na Eliupendo Zacharia (7).

Wakati wa kuwauliza maswali walimbwende waliofanikiwa kuingia tano bora ukafika.

Hawa ndio waliofanikiwa kuingia tatu bora ambao ni Neema Lema, Happiness Samweli na Nancy Ally.

Kwa upande wa burudani alikuwepo Dr. Jose Chameleone.

 Wakati Jose chameleone yupo jukwaani kuna shabiki alishindwa kuzuia hisia za ushabiki wake na kuamua kumng'ang'ania Jose Chameleone miguu mpaka baunsa akaja kumtoa.
 
Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post