NASRA ENZI ZA UHAI WAKE.
Jeneza lenye mwili wa marehemu Nasra
Rashid likibebwa kuingiza katika chumba cha kuhifadhia maiti cha
hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro ukitokea Dar es Salaam ambako
mtoto huyo alilazwa kwa matibabu zaidi kutokana na kuishi katika boksi
kwa kipindi cha miaka minne tangu kuzawaliwa kwake
Na Hemed Kivuyo….
MTOTO
NASRA RASHIDI MKAZI WA MOROGORO ALIHIFADHIWA NDANI YA CHUMBA NA
NDANI YA BOX KWA ZAIDI YA MIAKA MINNE,ALIHIFADHIWA HUKO NA MAMA YAKE WA `BANDIA`( SIYO MAMA YAKE MZAZI)
MAMA YAKE NASRA INADAIWA ALISHAFARIKI NA UGONJWA WA UKIMWI ( INASEMEKANA HIVYO) NA
NDIYO CHANZO CHA HUYO MAMA WA `BANDIA` KUMNYANYAPAA `NASRA MALAIKA` ETI
ASIMWAMBUKIZE UKIMWI (PUMBAVU SANA HUYU
MAMA)
NASRA
ALIWEKWA NDANI YA BOX KAMA MTOTO WA NDEGE KIASI CHA KUDHOHOFIKA,KUPATA
MARADHI,KUATHIRIKA KISAIKOLOJIA.``NASRA MALAIKA`ALIBAINIKA NA KUTOLEWA NJE (
KWANGUVU ZA MUNGU TU) BAADA YA KUPATA MATIBABU YA AWALI MKOANI MOROGORO
ALIHAMISHIWA MUHIMBILI DAR ES SALAAM,ALIKUWA AKIHEMA KWA TAABU,NA KUPATA
MARADHI MENGI YALIYOSABABISHWA NA HUYO MAMA( MPUMBAVU NA ASOMWOGOPA MUNGU) HATA
KAMA SHERIA BADO HAIJATHIBITISHA KOSA LA MAMA HUYO TAYARI KOSA LIMEONEKANA NA
KUPIMWA NA UMMA, NI MPUUZI ,MJINGA,,MUHUNI NA ASIYEPASWA KUSAMEHEWA HATA KIDOGO.
SIKU
NILIPOFIKA MUHIMBILI JIONI SAA MOJA
KUMUONA NASRA NILISHINDWA KUHIMILI NA
KUTOKWA NA MATOZI…NILIUMIA SANA NA KUJIULIZA MASWALI MENGI,ILINICHUKUA MUDA
MREFU KUTOKA ENEO LA MUHIMBILI NIKIDHANI KUONDOKA KWANGU KUTAMWACHA NASRA AZIDI
KUUMIA.
NILIONDOKA
SAA TATU USIKU TARATIBU HUKU NIKIKUMBUKA MANENO KADHA WA KADHA YALIYOPO KATIKA
QRAAN TUKUFU NIKIMWOMBA KARIMA AMUAFU
NASRA.
SIKU
YA TUKIO….( SIKWENDA KAZINI) KAMA ILIVYO ADA KWANGU SIKU YA MAPUMZIKO NAITUMIA
NDANI KWANGU. NILIPATA UJUMBE ULIYOINGIA KWA SIMU YANGU YA KIGANJANI KUTOKA KWA
DADA HALIMA ( MUUGUZI MUHIMBILI) ALINIPA TAARIFA KUWA NASRA AMEFARIKI DUNIA
USIKU WA SAA SABA BAADA YA KUHANGAIKA SANA AKIONGEA MANENO YENYE KUELEWEKA NA
KUENEKANA KUKATAA KURUDI KWA WALITYOKUWA
WAKIMLEA ( WALE WAHUNI) NASRA ALISEMA HIVIII…```SITAKI NASEMA SITAKI
MSINIRUDISHE KULE KWA WALE WATU TENA````) NASRA ALISEMA HAYO HUKU AKITOA MATOZI.
( MOLA MWINGI WA REHMA MWEKE SALAMA NASRA WANGU).
WAKATI
NAPATA UJUMBE ULE NILIREJEA KUUSOMA MARA TATU NA TATU NA TATU BILA
KUAMINI..MATOZI YALINIMWAIKA BILA
RIDHAA. HUMU DUNIANI KUNA MAMBO MENGI YENYE KUUMIZA,KUNA WAJA HUDHULUMIWA MAISHA YAO NA BIONADAMU WENZAO WENYE KUVAA JOHO LA MUNGU.
KUNA BINADAMU WAMEVIMBISHA MASHAVU NA KUJAA KIBRI CHA PUMZI YA BURE,KUNA
BINADAMU WAMEJIWEKA KATIKA ANGA LAO BINAFSI WAKIDHANI WAO WANA MKATABA WA KUSHI
ULIMWENGUNI KWA DAHARY NA DAHARY( WAJINGA,LAANA TULAHY) WANATEMBEA KIFUA MBELE WAKIJIDAI WAMESHIKILIA
MAISHA YA WENZAO NA WAKITAKA KUYAONDOA BASI WATAYAONDOA PUNDE..(
WASHENZY)))) KUNA WATU HUTEMBEA NA KUDHANI
HII DUNIA NI MALI YAO AU YA MAMA ZAO AU MABWANA ZAO,WAKE ZAO.. NK….IPO SIKU.
KATIKA
HALI YA KAWAIDA HUITAJI KUWA NA ELIMU YA KIWANGO CHA KUPINDUKIA KUBAINI UKATILI
ALOFANYIWA NASRA ( KIUMBE ASIYE NA KOSA)
HUITAJI KUWA NA HEKMA MITHILI YA MFALME
SULEIMAN KUONA UKATILI WAKUPINDUKIA
ALOFANYIWA `KIUMBE NASRA~
NASRA
HAKUWEZA KUJITETEA,HAKUWEZA KUPIGA KELELE,HAKUWEZA KUTOKA NJE,HAKUWEZA KUSEMA
ANAUMWA SEHEMU GANI,HAKUWEZA,KUJITOA NDANI YA BOX,HAKUWEZA KUSEMA NATAKA MAJI
YA KUNYWA,KUOGA ,KULA NA MAMBO KAMA HAYO.( EWE RABUKA HEBU NYOOSHA MAKUCHA YAKO
NA UMPE ADHABU KALI SANA HUYU FEDHULI ALOMTESA NASRA)
ROHO
NA UKATILI ALONAYO HUYU MPUUZI ALOMWEKA NDANI YA BOX NASRA HAIITAJI
SHERIA KUFUATA MKONDO TENA,INAPASWA HAKI ITENDEKEA KWA MUHUSIKA HUYU
KUCHOMWA SINDANO YA SUMU AMA KUPIGWA MAWE HADHARANI MPAKA APOTEZE MAISHA.PAMOJA
NA KUWA ADHABU HIYI PIA ITAKUWA NI NDOGO.. NI KWASABABU TU HUYU BIBIE HANA FAIDA
ZAIDI YA HASARA ENDAPO ATAENDELEA
KUISHI .
ATAENDELEZA UPUUZI
KWA VIUMBE WENGIE WASOKUWA NA HATIA KAMA ``NASRA`. ENDAPO HUYU LAANA
KUMY ATAENDELEA KUWEPO DUNIANI,TAIFA LITAENDELEA KUPATA HASARA NA TUTAENDELEA
KUTOA MATOZI KILA KUKICHA ( REJEA KAULI
YA MWL.NYERERE UKISHAKULA NYAMA YA MTU UTAENDELEA TU)
HIVI
KWELI UNAWEZA KUMUHIFADHI MTOTO WA MWENZIO NDANI YA BOX NA KUMTUPIA VYAKULA
KAMA NJIWA???? MBONA TUNAUMIZANA KIASI HIKI NDUGU ZANGU,,JAMANI JAMANII. HALAFU
ETI SHERIA IMPATE NA HATIA KISHA ATUMIKIE
NA KUTOKA NJE??? KUNA UMUHIMU WA KUBADILI SHERIA ZA NCHI HII KAMA SIVYO MAUJI YA KIJINGA
YANAUWEZEKANA YAKAENDELEA…….HUYU MWANAMKE NI MSHENZY TENA LAANA KUMMY MWENYEZI MUNGU ATAMSHINDA NA MTUME ATAMSHINDILIA PUMBAVU MKUBWA.
SHERIA
ZETU ZA NCHI ZINAWEZA KUWA NI CHANZO CHA MAUAJI KAMA HAYA,FIKIRIA ,,,MTU
ANATENDA UOVU KAMA HUU ALAFU SHERIA HUENDA IKAMPA ADHABU AMBAYO MUDA SI MREFU
ATAKUWA HURU..SHERIA GANI HIZIIIII????????????????
NDUGU
ZANGU ( NAWEWE ZAINAB) HEBU TUFANYE JAMBO MOYA…LEO ,KESHO NA KESHO KUTWA
TUFANYE IBADA USIKU KUANZIA SAA TISA ,TUSEMA NA MOLA WETU.TUMWOMBE AMPOKEE NDUGU
YETU,MTOT WETU,NASRA RASHIDI,AMWEKE KATIKA PEPO NZUUURI,NASRA APATE FURAHA
AKUTANE NA MAMA YAKE NA WAFURAHI PAMOYA.
HEBU
TUSEMA NA MOLA WETU TUMSHITAKIE KWA NIABA YA NASRA
``EEE
MWENYEZI MUNGU MWINGI REHMA MLAZE PEMA NASRA~~~````
0752
250157///0655 250157
Tags
MATUKIO