MAELFU WAMZIKA MSANII MKONGWE WA MAIGIZO NCHINI SAID NGAMBA ALMAARUFU MZEE SMALL KATIKA MAKABURI YA SEGEREA

 Vijana wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa Marehemu Mzee Small wakielekea kwenye Makaburi ya Segerea Jioni Hii.
 
 Mwili wa Marehemu Mzee Small ukitolewa kwenye jeneza tayari kupumzishwa katika Nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Segerea.
 Wanahabari wakitafuta taswira katika mazishi ya Mzee Small katika Makaburi ya Segerea
 
 
 
 
 
Picha Zote na Habari5 Blog na- Lukaza Blog

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia