Ticker

6/recent/ticker-posts

TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP ,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kushoto kwake ni Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya.
Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya akizungumza wakati semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro.
Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Injinia Annette Matindi akizungumza wakati wa semina hizo
Mkuu wa kikosi cha Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro SSP ,Ramadhan Ng'anzi akizungumza katika semina hiyo.
Baadhi ya washiriki katika semina hiyo ambao ni maofisa wa ngazi mbalimbali katika jeshi la polisi.
Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakijitambulisha katika semina hiyo.
Kamanada wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP Rober Boaz akiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TCRA,kulia kwake ni Naibu Mkurugenzi wa kanda wa TCRA,Victor Nkya na kushoto kwake ni Meneja wa TCRA kanda ya kaskazini mhandisi Annete Matindi.
Washiriki wa semiana wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi .
Baadhi ya washiriki wakibadirishana mawazo wakati wa mapumziko.

Post a Comment

0 Comments