Rais Jakaya Kikwete akikata utepe ishara ya kuzindua rasmi chuo
wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri rais kuwasilini chuoni hapo |
Waziri wa aridhi ,nyumba na makazi Godluck Ole Medeye akibasilishana mawazo na Waziri wa tamisemi ofisi ya waziri mkuu Hawa Ghasia pamoja na mkuu wa wilaya ya Arumeru wakiwa wanabadilishana mawazo
msafara wa rais ukiwasili shuleni
Rais akiaza kukagua maktaba ya chuo cha Nelson Mandela